Mwanza Youth and Children Network - MYCN is at Magu Mwanza.

Mapema siku ya leo vijana kutoka wilaya ya Magu wameanza shughuli ya uelimishaki wa mabadiliko ya tabianchi wilayani Magu kata ya kahangara ambapo wameanza na shule ya Florence girls secondary