Vijana Mabalozi wa mazingira wameendelea na utoaji elimu ya mazingira kwa wanafunzi

Vijana Mabalozi wa mazingira wameendelea na utoaji elimu ya mazingira kwa wanafunzi na jinsi gani watoto wanavyoweza kujifunza stadi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa njia inayowajenga kiakili na kihisia katika shule ya sekondari ya Lubugu iliyopo wilayani Magu..