Mwanza Youth and Children Network - MYCN is at Magu Mwanza

Elimu imeendelea kutolewa na miti kupandwa hasa katika msimu huu wa mvua zinazonyesha wilayani Magu ikiwa vijana mabalozi wa mazingira katika kata ya buhumbi wametembelea na kutoa elimu juu ya mabadiliko ya tabia nchi katika shule ya sekondari na shule ya msingi buhumbi

Tunaamini katika kujenga msingi bora wa kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni kutoa elimu kwa watu wote.