kikao cha tathimi kuhusu utekelezaji wa shughuli za watoto
MYCN tumeweza kushiriki katika kikao cha tathimi kuhusu utekelezaji wa shughuli za watoto wenye uhitaji walioko mashulen na katika mzingira magumu mkoani Mwanza
Kikao ichi Kimeandaliwa na shirika la Mwanza Orphans Ministry (Mwaomi) ambapo kimehusisha wadau mbalimbali wakiwemo Cada ,Urafiki girs na wengineo wanaofanya shughuri za watoto
- Written by Gladness George
- Created Date Oct 01, 2023
